Ezekieli 36:35 BHN

35 Nao watu watasema: ‘Nchi hii iliyokuwa jangwa, sasa imekuwa kama bustani ya Edeni, nayo miji iliyokuwa ukiwa, mahame na magofu, sasa inakaliwa na watu, tena ina ngome!’

Kusoma sura kamili Ezekieli 36

Mtazamo Ezekieli 36:35 katika mazingira