Ezekieli 36:6 BHN

6 Kwa hiyo, ewe mtu, toa unabii kuhusu nchi ya Israeli, uiambie milima na vilima, vijito na mabonde kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema mambo haya kutokana na ghadhabu yangu yenye wivu juu ya nchi yangu, kwa sababu imetukanwa na watu wa mataifa.

Kusoma sura kamili Ezekieli 36

Mtazamo Ezekieli 36:6 katika mazingira