Ezekieli 38:16 BHN

16 Utawakabili Waisraeli, kama wingu linalotanda juu ya nchi. Wakati huo nitakutuma uishambulie nchi yangu, ili mataifa yajue kwamba nimekutumia wewe Gogu ili nioneshe utakatifu wangu mbele yao.

Kusoma sura kamili Ezekieli 38

Mtazamo Ezekieli 38:16 katika mazingira