Ezekieli 38:6 BHN

6 Pia vikosi kutoka Gomeri, Beth-togarma, upande wa kaskazini kabisa, na majeshi yao yote pamoja na majeshi kutoka mataifa mengine, yako pamoja nawe.

Kusoma sura kamili Ezekieli 38

Mtazamo Ezekieli 38:6 katika mazingira