Ezekieli 39:14 BHN

14 Baada ya miezi hiyo saba, watachagua watu wapitepite nchini kutafuta maiti ambazo zitakuwa bado hazijazikwa, wazizike ili kuisafisha nchi.

Kusoma sura kamili Ezekieli 39

Mtazamo Ezekieli 39:14 katika mazingira