Ezekieli 39:23 BHN

23 Mataifa yatajua kuwa Waisraeli walikwenda uhamishoni kutokana na makosa yao wenyewe waliyonikosea. Waliniasi, nami nikageuka wasinione, nikawaweka mikononi mwa maadui zao wakauawa.

Kusoma sura kamili Ezekieli 39

Mtazamo Ezekieli 39:23 katika mazingira