4 Utakufa juu ya milima ya Israeli, wewe pamoja na vikosi vyako vyote na mataifa yaliyo pamoja nawe. Nami nitaitoa miili yao iliwe na ndege wa kila aina na wanyama wakali.
Kusoma sura kamili Ezekieli 39
Mtazamo Ezekieli 39:4 katika mazingira