9 Hapo, watu waishio katika miji ya Israeli watatoka na kukusanya silaha zilizoachwa na kuzichoma moto. Watatumia hizo ngao, pinde, mishale, mikuki na marungu, kama kuni za kuwasha moto kwa muda wa miaka saba.
Kusoma sura kamili Ezekieli 39
Mtazamo Ezekieli 39:9 katika mazingira