Ezekieli 4:14 BHN

14 Ndipo nikamwambia, “Ee, Bwana Mwenyezi-Mungu, kamwe sijajitia najisi kwa kula kilichokufa chenyewe au kilichouawa na mnyama wa porini, wala sijapata kuonja nyama ya mnyama najisi tangu ujana wangu.”

Kusoma sura kamili Ezekieli 4

Mtazamo Ezekieli 4:14 katika mazingira