Ezekieli 4:16 BHN

16 Tena akaniambia, “Wewe mtu, mimi nitaharibu akiba ya chakula mjini Yerusalemu; wakazi wake watakula chakula watakachopimiwa kwa hofu. Watakunywa maji watakayopimiwa kwa kufadhaika.

Kusoma sura kamili Ezekieli 4

Mtazamo Ezekieli 4:16 katika mazingira