Ezekieli 40:1 BHN

1 Mwaka wa ishirini na tano tangu kuhamishwa kwetu, siku ya kumi ya mwezi wa kwanza, siku hiyo niliusikia uzito wa nguvu ya Mwenyezi-Mungu. Ilikuwa mwaka wa kumi na nne tangu mji wa Yerusalemu ulipotekwa.

Kusoma sura kamili Ezekieli 40

Mtazamo Ezekieli 40:1 katika mazingira