Ezekieli 40:27 BHN

27 Mkabala na njia hiyo ya kuingilia kulikuwa na njia ya kuingilia kwenye ua wa ndani. Yule mtu akapima urefu kati ya hizo njia, akapata mita 50.

Kusoma sura kamili Ezekieli 40

Mtazamo Ezekieli 40:27 katika mazingira