3 Basi, alinipeleka huko, nami nikamwona mtu aliyeonekana anangara kama shaba. Mikononi mwake mtu huyo alikuwa na kamba ya kitani ya kupimia pamoja na ufito wa kupimia, naye alikuwa amesimama karibu na lango.
Kusoma sura kamili Ezekieli 40
Mtazamo Ezekieli 40:3 katika mazingira