Ezekieli 40:31 BHN

31 Ule ukumbi ulikuwa mkabala na ua wa nje. Na kulikuwa na michoro ya mitende kwenye nguzo kandokando ya hiyo njia ya kuingilia kwenye ngazi. Kulikuwa na ngazi nane za kupandia lango hili.

Kusoma sura kamili Ezekieli 40

Mtazamo Ezekieli 40:31 katika mazingira