37 Ule ukumbi wa kuingilia ulikuwa mkabala na ua wa nje; kulikuwa na mitende imechorwa kwenye kuta za hiyo nafasi ya kupitia. Pia kulikuwa na ngazi nane za kupandia kuelekea kwenye lango hili.
Kusoma sura kamili Ezekieli 40
Mtazamo Ezekieli 40:37 katika mazingira