Ezekieli 40:39 BHN

39 Halafu katika ukumbi karibu na njia kulikuwako meza mbili upande mmoja na nyingine mbili upande mwingine. Meza hizo zilitumika kuwa mahali pa kuchinjia sadaka ya kuteketezwa, sadaka ya kuondoa dhambi na sadaka ya kuondoa hatia.

Kusoma sura kamili Ezekieli 40

Mtazamo Ezekieli 40:39 katika mazingira