Ezekieli 40:49 BHN

49 Kulikuwa na ngazi za kupandia kwenye ukumbi wa chumba cha kuingilia, ambao ulikuwa na upana wa mita 10 na kina cha mita 6. Kulikuwa na nguzo mbili, nguzo moja kila upande wa mlango.

Kusoma sura kamili Ezekieli 40

Mtazamo Ezekieli 40:49 katika mazingira