Ezekieli 41:11 BHN

11 Kulikuwa na milango kwenye vyumba vya pembeni kutokea kwenye uwanja, mmoja upande wa kaskazini na mwingine upande wa kusini. Na msingi uliounganishwa na uwanja ulikuwa na upana wa mita 2.5.

Kusoma sura kamili Ezekieli 41

Mtazamo Ezekieli 41:11 katika mazingira