Ezekieli 41:13 BHN

13 Yule mtu akapima upande wa nje wa hekalu nao ulikuwa na urefu wa mita 50. Tokea nyuma ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu kupitia ile nafasi ya kupitia, hadi mwisho wake, upande wa magharibi, umbali wake ulikuwa pia mita 50.

Kusoma sura kamili Ezekieli 41

Mtazamo Ezekieli 41:13 katika mazingira