15 Yule mtu akapima urefu wa jengo hadi magharibi pamoja na mabaraza yake pande zake zote, nalo lilikuwa na urefu wa mita 50.Chumba cha kuingilia hekaluni, mahali patakatifu, na mahali patakatifu kabisa,
Kusoma sura kamili Ezekieli 41
Mtazamo Ezekieli 41:15 katika mazingira