Ezekieli 41:22 BHN

22 madhabahu ya mbao. Kimo chake kilikuwa nusu mita na upana wa mita moja. Pembe zake, tako lake, na pande zake zote zilikuwa zimetengenezwa kwa mbao. Yule mtu akaniambia, “Hii ndiyo meza inayokaa mbele ya Mwenyezi-Mungu.”

Kusoma sura kamili Ezekieli 41

Mtazamo Ezekieli 41:22 katika mazingira