Ezekieli 41:5 BHN

5 Yule mtu aliupima unene wa ukuta wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu, nao ulikuwa mita tatu. Kulikuwa na mfululizo wa vyumba vidogovidogo kuizunguka nyumba ya Mwenyezi-Mungu, vyenye upana wa mita mbili.

Kusoma sura kamili Ezekieli 41

Mtazamo Ezekieli 41:5 katika mazingira