Ezekieli 42:1 BHN

1 Kisha yule mtu alinipeleka kwenye uwanja wa nje hadi kwenye jengo lililokuwa upande wa kaskazini, naye akaniingiza kwenye vyumba vilivyokabili ua wa hekalu na jengo lililokuwa upande wa kaskazini.

Kusoma sura kamili Ezekieli 42

Mtazamo Ezekieli 42:1 katika mazingira