Ezekieli 42:12 BHN

12 Kulikuwa na mlango chini ya vyumba kwenye upande wa kusini wa jengo, mwishoni mwa upande wa mashariki ambako ukuta ulianzia.

Kusoma sura kamili Ezekieli 42

Mtazamo Ezekieli 42:12 katika mazingira