Ezekieli 42:15 BHN

15 Baada ya yule mtu kulipima eneo la ndani la nyumba ya Mwenyezi-Mungu, alinitoa nje kupitia lango la mashariki na kulipima eneo la nje.

Kusoma sura kamili Ezekieli 42

Mtazamo Ezekieli 42:15 katika mazingira