Ezekieli 42:20 BHN

20 Hivyo akawa amepima pande zote, nazo zilikuwa mita 250 kila upande. Ukuta huo ulitenganisha kati ya eneo takatifu na lile la kawaida.

Kusoma sura kamili Ezekieli 42

Mtazamo Ezekieli 42:20 katika mazingira