Ezekieli 42:4 BHN

4 Upande wa kaskazini wa jengo hilo, kulikuwa na njia ya kupitia yenye upana wa mita 5 na urefu wake mita 50. Milango yake ilikuwa upande wa kaskazini.

Kusoma sura kamili Ezekieli 42

Mtazamo Ezekieli 42:4 katika mazingira