Ezekieli 42:8 BHN

8 Wakati vyumba kwenye ua wa nje vikiwa na urefu wa mita 20, vile vya mkabala na hekalu vilikuwa na urefu wa mita 50.

Kusoma sura kamili Ezekieli 42

Mtazamo Ezekieli 42:8 katika mazingira