Ezekieli 43:20 BHN

20 Utatwaa damu yake na kuitia juu ya pembe nne za madhabahu na juu ya ncha nne za daraja na juu ya pambizo yake pande zote. Hivyo ndivyo utakavyoitakasa madhabahu na kuiweka wakfu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 43

Mtazamo Ezekieli 43:20 katika mazingira