Ezekieli 44:2 BHN

2 Mwenyezi-Mungu akaniambia: “Lango hili litaendelea kufungwa. Hakuna mtu yeyote anayeruhusiwa kulitumia, kwa sababu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, nimeingia kupitia lango hilo. Hivyo litadumu likiwa limefungwa.

Kusoma sura kamili Ezekieli 44

Mtazamo Ezekieli 44:2 katika mazingira