Ezekieli 44:4 BHN

4 Yule mtu akanipeleka mbele ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu, kwa njia ya lango la kaskazini. Nilipoangalia, nikaona utukufu wa Mwenyezi-Mungu umeijaza nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Hapo nikaanguka kifudifudi.

Kusoma sura kamili Ezekieli 44

Mtazamo Ezekieli 44:4 katika mazingira