Ezekieli 45:11 BHN

11 Kwa kipimo cha ulinganifu: Efa kwa nafaka na bathi kwa mafuta zina kiasi sawa. Hivyo viwili ni moja ya kumi ya homeri moja.

Kusoma sura kamili Ezekieli 45

Mtazamo Ezekieli 45:11 katika mazingira