Ezekieli 45:15 BHN

15 Watatoa kondoo mmoja kwa kila kundi la kondoo 200 katika jamaa za Israeli. Wataleta sadaka za nafaka, sadaka za kuteketezwa, na sadaka za amani, ili wapate kufanyiwa upatanisho. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.

Kusoma sura kamili Ezekieli 45

Mtazamo Ezekieli 45:15 katika mazingira