Ezekieli 46:7 BHN

7 Pamoja na kila fahali na kila kondoo dume anayetolewa sadaka, ni lazima pawepo lita kumi na saba na nusu za unga, na pamoja na kila mwanakondoo, ni lazima pawepo chochote ambacho mtawala anatoa. Tena kwa kila sadaka ya nafaka, ni lazima kutoa lita tatu za nafaka.

Kusoma sura kamili Ezekieli 46

Mtazamo Ezekieli 46:7 katika mazingira