Ezekieli 48:10 BHN

10 Makuhani watakuwa na eneo lao katika eneo hilo. Eneo hilo litakuwa na urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu kutoka mashariki hadi magharibi, na kilomita 5 kutoka kaskazini hadi kusini. Maskani ya Mungu itakuwa katikati ya eneo hilo.

Kusoma sura kamili Ezekieli 48

Mtazamo Ezekieli 48:10 katika mazingira