Ezekieli 48:12 BHN

12 Hilo litakuwa eneo lao maalumu kutoka katika eneo takatifu la nchi, eneo takatifu kabisa, litakalopakana na eneo la Walawi.

Kusoma sura kamili Ezekieli 48

Mtazamo Ezekieli 48:12 katika mazingira