Ezekieli 48:22 BHN

22 na eneo la Walawi pamoja na lile eneo la mji, yatakuwa katikati ya eneo la mtawala. Eneo la mtawala litakuwa katika mpaka wa eneo la kabila la Yuda na eneo la kabila la Benyamini.

Kusoma sura kamili Ezekieli 48

Mtazamo Ezekieli 48:22 katika mazingira