28 Eneo linalopakana na kabila la Gadi kuelekea kusini, mpaka utatoka mji wa Tamari hadi kwenye chemchemi za Meriba-kadeshi na kupitia upande wa mashariki ya Misri hadi Bahari ya Mediteranea.
Kusoma sura kamili Ezekieli 48
Mtazamo Ezekieli 48:28 katika mazingira