Ezekieli 5:2 BHN

2 Baada ya kuzingirwa kwa mji wa Yerusalemu kumalizika, utaichoma theluthi ya nywele zako ndani ya mji. Theluthi nyingine utaipigapiga kwa upanga ukiuzunguka mji. Theluthi ya mwisho utaitawanya kwa upepo, nami nitauchomoa upanga wangu ili kuifuatilia.

Kusoma sura kamili Ezekieli 5

Mtazamo Ezekieli 5:2 katika mazingira