Ezekieli 5:4 BHN

4 Lakini chukua pia nywele kidogo uzitupe motoni na kuziteketeza. Moto utatokea humo na kuwaunguza watu wote wa Israeli.

Kusoma sura kamili Ezekieli 5

Mtazamo Ezekieli 5:4 katika mazingira