6 Lakini wakazi wake wameyaasi maagizo na kanuni zangu, wakawa wabaya kuliko mataifa na nchi zinazowazunguka. Naam, wameyakataa maagizo yangu na kuacha kuzifuata kanuni zangu.
Kusoma sura kamili Ezekieli 5
Mtazamo Ezekieli 5:6 katika mazingira