Ezekieli 7:11 BHN

11 Ukatili unaendelea kuwa mbaya zaidi.Hakuna hata mmoja wenu atakayebaki,wala vitu mlivyojirundikia kwa wingi au utajiri wenu;hatakuwako mtu mwenye heshima miongoni mwenu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 7

Mtazamo Ezekieli 7:11 katika mazingira