Ezekieli 7:14 BHN

14 Tarumbeta imepigwa na kuwafanya wote wawe tayari.Lakini hakuna anayekwenda vitani,kwani ghadhabu yangu iko juu ya umati wote.

Kusoma sura kamili Ezekieli 7

Mtazamo Ezekieli 7:14 katika mazingira