27 Mfalme ataomboleza,mkuu atakata tamaana watu watatetemeka kwa hofu.Nitawatenda kadiri ya mienendo yao,nitawahukumu kama nilivyowahukumu wengine.Ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.”
Kusoma sura kamili Ezekieli 7
Mtazamo Ezekieli 7:27 katika mazingira