9 Sitawaachilia wala sitawaonea huruma.Nitawaadhibu kulingana na mienendo yenumaadamu machukizo yapo bado miongoni mwenu.Ndipo mtakapotambua kuwa ni mimi Mwenyezi-Mungu ninayewaangamiza.
Kusoma sura kamili Ezekieli 7
Mtazamo Ezekieli 7:9 katika mazingira