Ezekieli 9:8 BHN

8 Wakati walipokuwa wakiwaua, mimi niliachwa peke yangu, nikaanguka kifudifudi, nikalia, “Ee Bwana Mwenyezi-Mungu, je, utaangamiza watu wote wa Israeli waliobaki, ukitimiza ghadhabu yako juu ya Yerusalemu?”

Kusoma sura kamili Ezekieli 9

Mtazamo Ezekieli 9:8 katika mazingira