Hesabu 1:44 BHN

44 Hawa ndio watu waliokuwa wamehesabiwa ambao Mose na Aroni waliwahesabu wakisaidiwa na wale viongozi kumi na wawili wa Israeli, kila kiongozi akiwakilisha ukoo wake.

Kusoma sura kamili Hesabu 1

Mtazamo Hesabu 1:44 katika mazingira