Hesabu 10:11 BHN

11 Mnamo siku ya ishirini ya mwezi wa pili, mwaka wa pili tangu wana wa Israeli walipoondoka Misri, wingu lililokuwa juu ya hema la maamuzi liliinuliwa,

Kusoma sura kamili Hesabu 10

Mtazamo Hesabu 10:11 katika mazingira