Hesabu 10:18 BHN

18 Halafu, watu waliokuwa chini ya bendera ya kikosi kilichoongozwa na kabila la Reubeni, walifuata kundi moja baada ya jingine. Kiongozi wao alikuwa Elisuri mwana wa Shedeuri.

Kusoma sura kamili Hesabu 10

Mtazamo Hesabu 10:18 katika mazingira