Hesabu 10:25 BHN

25 Mwisho, wale waliokuwa chini ya bendera ya kikosi kilichoongozwa na kabila la Dani, waliokuwa kama walinzi nyuma ya vikosi vyote, walisafiri, kundi moja baada ya jingine. Hawa waliongozwa na Ahiezeri mwana wa Amishadai.

Kusoma sura kamili Hesabu 10

Mtazamo Hesabu 10:25 katika mazingira